Pages

Wednesday, December 20, 2017

DIWANI MWINGINE WA CHADEMA AJIVUA UANACHAMA NA UDIWANI, ATANGAZA KUJIUNGA NA CCM


Taarifa zilizotufikia kutoka Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jana Desemba 19, 2017  Diwani wa CHADEMA  Kata ya Donyomurwak, Kilimanjaro Lwite Ndossi, amejivua Uanachama na kujiuzulu Udiwani wa Kata hiyo huku akitangaza kujiunga na CCM.

Ndossi ameeleza sababu za kujiunga kwake na chama cha CCM kuwa ni kujiunga na watu wanaofanya siasa za kufanya kazi za maendeleo na si kulumbana na maneno matupu.


No comments: