![]() |
| Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya Jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam jana mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii. |
![]() |
| Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike. |
![]() |
| Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume. |



No comments:
Post a Comment