![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri wa Habari (TEF), Deodatus Balile (kulia), akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 14 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Saruji cha Tanga- Simba Cement, Renhardt Swart, kusaidia jukwaa hilo katika majukumu yake ya kila siku ikiwemo mkutano wao mkuu kesho Moshi Mkoani Kilimanjaro. |
No comments:
Post a Comment