






Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo
March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mfalme
Mswati wa III wa Swaziland mjini Mbabane Swaziland ambapo amezitaka Nchi
wanachama wa SADC kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa
maendeleo ya Jumuiya hiyo kama hatua ya kuwakwamua wananchi na umasikini
No comments:
Post a Comment