
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika
Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha
Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma .




Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiifurahi
picha yake ya kuchora alipokabidhiwa wakati anakagua mabanda ya Maonesho
katika katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniania zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Dodoma.







No comments:
Post a Comment