Watangazaji mahiri Gerald Hando na Paul James (PJ) wameanza rasmi
kutangaza 93.7 EFM redio siku ya leo ya tarehe 02/05/2016 katika
kipindi cha Joto la asubuhi kilichoboreshwa wakiwa pamoja na Adela
Tilya live nje ya jengo la K-net house zilipo ofisi za EFM. Kipindi hiki kinarushwa kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:00 hadi saa 3:00 Asubuhi. Usipitwe. Kutoka kushoto ni Gerald Hando, Adella Tillya, pamoja na Paul
James wakitangaza kipindi cha JOTO LA ASUBUHI live chini ya jendo la
K-net house Kawe Beach Dar es salaam leo asubuhi. |
No comments:
Post a Comment