Pages

Friday, August 21, 2015

Wizara ya Afya yawapa semina wanahabari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu


af1
Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada leo jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu
af2
Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
af3
Mtaalamu wa Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wanahabari. 
af4
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari(hawapo pichani ) jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John.
af5
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John(kushoto)  akijibu maswali ya wanahabari (hawapo pichani ) leo jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen.
af6
Mkurugenzi Msaidizi huduma ya lishe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vincent Assey (kushoto) akifafanua kwa wanahabari juu ya umuhimu wa madini jotoleo jijini Dar es salaam .Kulia ni Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibimayila.
af7
Mmoja wa waandishi wa habari David John  swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Picha zote na Anitha Jonas -MAELEZO-Dar es salaam

No comments: