Pages

Friday, August 21, 2015

SERIKALI SASA KUMILIKI ASILIMIA 100 YA KAMPUNI YA GENERAL TYRE

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizingumza wakati wa makabidhiano ya hisa 26 kutoka kampuni ya Continental AG. Kulia ni Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizingumza wakati wa makabidhiano ya hisa 26 kutoka kampuni ya Continental AG. Kulia ni Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru akikabidhiwa hati ya hisa na Mwakilishi wa Continental AG, Michael Strain leo asubuhi. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

No comments: