
Mwanachama mpya wa PPF, akijaza fomu za mpango wa uchagiaji wa hiari wakati wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA pale Mlimani City jijini Dar es Salaam, Agosti 21, 2015. Kulia ni Afisa wa Kanda wa PPF, Upendo Singinika Sasi.

Elihuruma (kushoto) na mtaalamu wa mifumo ya comuter wa PPF, (Kulia), wakiangalia jinsi wanachama wa mfuko huo wanavyopata taarifa za michangu yao kupitia simu zao.
Msimamizi wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Upendo Walter Mazula, (kulia), akimkabidhi zawadi mwanachama mpya wa PPF, Raymond Ndambo, (katikati), huku Meneja Masoko wa PPF,Elihuruma Ngowi, wakati wa siku ya wafanyakazi wa kampuni ya NOKIA.Khalfan Said Photojournalist.
No comments:
Post a Comment