Pages

Wednesday, August 12, 2015

BENKI YA CRDB YAFANYA SEMINA KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA NYANDA ZA JUU KUSINI



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheRLNKz4RtfNkjxrgJBtiCamhyphenhyphenGJ4tU5I79EECeO6M81A3C5erMYl9qWkJgHA0ZYtQEni0rVZ42xBBf_B5fDjKDWAP-4ry7cwhP2dlxyU51V717udUX6Dr59KcUgFiGxG4DjoVWoy4nVM/s1600/IMGS4002.JPG
Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa amgeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini  akifungua rasmi semina hiyo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbl9ySRVAJ4AKfd5C7COw2LEEsIz-4Se2iGIKvfE_wdS-_htMJM0DwlQIxnnPIwg7eYkCLz0tNgcWyVUt60pMJlWVvHXU_b9j0g-o-9JgQnU6RO0gJFxTka__byH3-gRh_ELLEUz3Tgnc/s1600/IMGS3910.JPG
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa  emina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKEZdpkrEa3ZVehzAI3m0l4IyuDZvbOGAbD7T1SE_OEEVVHzz6XnqEG284ydRXuhlpRFhivAFIBf26T07zqEuPVnxhp6waAVSpXQUJXBigyo2gXXiAvYDGmPQVS1VuJMfTrfnR0wvs2K0/s1600/IMGS3705.JPGMkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kutoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini  iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj43aIxdZDYZJJMvYmfd25MUzNK7ccm9JXvVJ1Wp89cQVrO2-Ib4n-4DxwCD2hWDNV7xUu0wHyVkZNDPQym7PYYazeqpEyUT5-9FIMne5nV9WUc_EmYDS1U7Sa94wk0dl1NvjRo8TjuXHk/s1600/IMGS4082.JPG
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akiwaongoza wageni waalikwa kuimba wimbo maalumu wa Benki hiyo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwzs3xmN4WPZkGwXJ-_kAUvvu62vg9-HHx-53IgyptAS4nC2MtFR6OKdQUrEUwsetETfdn8yhHN2jmF0bF3AomZiOFRB2CQ3oRwbKChHjQ2_wwSShuNP_g3vvB50AObdznPjL9HSR7gAM/s1600/IMGS4056.JPG
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB Dk. Charles Kimei akifurahia jambo na Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) wakati wa semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini  iliyofanyika jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjabFmB3KCUxAMThoDwifeB94fPlUWwTeEHd13sv_abzYiyxzfBz0ig6KBeFOj4Y7lLgfO8vigpZEWFvFkYShTEuTbUR_CTvMX8X6ehwNP1HtHY7b9cuIRVtIhIOtjnpzYvXDlJmig-btA/s1600/IMGS4091.JPG
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini  iliyofanyika jijini Mbeya.

No comments: