![]() |
| Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Donald Ngoma akiichambua ngome ya timu ya Azam, wakati wa mchezo wao wa robo fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame, uliochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Azam imeibuka mshindi kwa mabao ya penati 5-4. |
![]() |
| Mshambuliaji wa timu ya Azam, John Bocco akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Yanga, wakati wa Mchezo wao wa robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Kagame uliochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Beki wa Yanga, Juma Abdul (kushoto) akikabiliana na Mchezaji wa Azam, Frank Domayo. |
![]() |
| Beki wa Timu ya Azam, Pascal Wawa (mweye mpira) akiangalia wa kumpatia mpira huku nyumba yake akiwepo mshambuliaji wa timu ya Yanga. |
| Kikosi kizima cha timu ya Yanga. |




No comments:
Post a Comment