Jengo la westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linatarajiwa kufunguliwa leo kwa umma ambapo ni miaka miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa al shabab.
Katika tukio hilo, watu 67 waliuawa wakati wa makabiliano ya siku nne kati ya jeshi la polisi la nchi hiyo na wanamgambo hao.
Duka hilo linafunguliwa wiki moja baada ya Rais wa Marekani Barack Obama kufanya ziara nchini kenya hatua inayoonekana kama ishara ya imani kwa usalama wa nchini Kenya.
Al Shabab wameendesha mashambulizi mengine mabaya nchini Kenya tangu litokee shambulizi la Westgate likiwemo la chuo kikuu cha Garissa ambapo watu 150 waliuawa.

Chanzo: BBC Swahili
No comments:
Post a Comment