Meneja wa amana za wateja, Boma Raballa akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ili kuwapata washindi mia moja ishirini wa promosheni ya NMB na Ki-college Plus mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.Promosheni hii inawawezesha wanafunzi wenye akaunti na NMB kujipatia zawadi mbali mbali zikiwamo simu za mkononi. Kushoto ni Meneja wa tawi la NMB Bank House,
Meneja wa NMB tawi la NMB Bank House (tatu kushoto) Leon Ngowi akibonyeza kitufe ili kuwapata washindi wa NMB Ki- college Plus . Wa (kwanza kushoto) ni meneja masoko wa NMB, Yusuf Shenyagwa , Meneja wa amana za wateja, Boma Raballa wa( kwanza kulia ni mkaguzi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha, Sadik Maggid na anayemfuata ni meneja huduma wa kampuni ya selcom, Chia Ngahyoma.
Maofisa wa benki ya NMB wakionyesha zawadi mbali mbali ambazo zinatolewa kwa washindi wa promosheni ya NMB na Ki-college Plus ambayo inaendelea .
Jumla ya washindi 120 walipatikana katika droo hiyo na maofisa wanafurahia tukio zima.
No comments:
Post a Comment