Pages

Thursday, April 6, 2017

KIWANDA CHA SARUJI CHA TANGA, SIMBA CEMENT CHALISAIDIA JUKWAA LA WAHARIRI (TEF)

Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri wa Habari (TEF), Deodatus Balile (kulia), akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 14 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Saruji cha Tanga- Simba Cement, Renhardt Swart, kusaidia jukwaa hilo katika majukumu yake ya kila siku ikiwemo mkutano wao mkuu kesho Moshi Mkoani Kilimanjaro.

No comments: