Mchuano kati ya Yanga ya Tanzania na Zanaco ya Zambia ambao umepigwa huko zambia umemalizika hivi punde ambapo mchezo huo wa vuta nikuvute timu hizo zimetoka suruhu ya bila kufungana ambapo kwa sale hiyo Yanga imetolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika.
No comments:
Post a Comment