Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dar
es salaam, Paul Makonda kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwenda Port Louis, Mauritius
kumwakilisha Rais John Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la
Afrika (The Inaugural Session of The African Economic Platform) , Machi
18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment