Mkurugenzi
wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998
akipokea mwenge wakati wilaya ya Kinondoni ilipopokea mbio za mwenge wa
uhuru pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi wa
kinondoni kwenye uwanja wa shule Bunju jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998
aungana na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pamoja na viongozi wa vyama na
serikali na wananchi wa kinondoni katika kuupokea Mwenge wa Uhuru
16/05/2016 kwenye uwanja wa shule bunju
No comments:
Post a Comment