![]() |
Askari wa kikosi cha zimamoto jijini Mbeya akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika hadi sasa. |

![]() |
Kikosi cha zimamoto cha jijini Mbeya kikiendelea na jitihada za kuuzima moto huo. |
![]() |
Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo iliyopo jijini Mbeya wakiwa nje ya shule wakiangalia baadhi ya vitu vyao vilivyofanikiwa kuokolewa. |
No comments:
Post a Comment