Pages

Thursday, August 20, 2015

NYALANDU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE SINGIDA KASKAZINI

FOMU
Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (kushoto) akichukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa  Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo,  Hajjat Mwasumilwe.

hotubA
Ndugu Lazaro Nyarandu akihutubia wananchi wa kijiji cha Kinyagigi.

kinyagigi

MAPOKEZI
Wananchi wa kijiji cha Kinyagigi wakisalimiana na Nd. Lazaro Nyalandu.

No comments: