Pages

Thursday, August 20, 2015

DK MAGUFULI ALIPOTAMBULISHWA KWA WAZEE WA CCM DAR

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova  alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika hafla ya kumtambulisha mgombea huyo jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mgombea mwenza wa urais wa CCM, mhe Samia Suluhu Hassan jana katika hafla ya kuwatambulisha wagombea hao iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dsm.
Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dk John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.








No comments:

Post a Comment