Pages

Thursday, July 30, 2015

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA CHUO CHA NEWCASTLE, AUSTRALIA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhp-kIYSQ6p1bJgpYpsEl3WivUTGB_Z8yF0wtpsvYbzVScfczLnpwPpyhFbX4Icg03B4VzXPQetL16dWrHzkN5bLC-KjGOBEyZkhDqrctUDl_L2mb31scqz3RUwHbTLBtHsqISb5Qq5pwWV/s1600/n9.jpg
Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws Honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia tarehe 29/7/2015 katika ukumbi wa chuo hicho.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLgE2ZMUPR-F1ZuT4p8ZkUjhss1x7J-mQOYTdVLLsjjKWmJPvgYta_eGR4yP6UAfvU72qX6ThBklVEzlr1FbJ3kOiw-1fxJnSYrhPcIHIdgbbTydnfnyjgu_jK8He9pvnnlBabM1JFa5v4/s1600/n10.jpg
Rais Jakaya Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada hiyo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans katika ukumbi wa chuo hicho.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgD66UTj797e1ZDdoAn0YPv-NMsWtVt6NW8-g4IJitdfC8W9VIQxYLCzVOpMQnVJzIuoCuD6lIjImE2JsCqYk9rVZs1wx7z4DH503ncNs8oEJaIIVv9HJE4zjr5bSbWf3SaYWBeLuvVtVGI/s1600/n13.jpg
Sehemu ya baadhi ya Watanzania waishio nchini Australia waliohudhuria hafla ya Rais Jakaya Kikwete kutunukiwa Shahada ya Heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws Honorific Causa).


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHvnxagE6X-6W8ipht54Cv7wADd-6ZyxSf4xi9CtedkgxWZjrCmEFSknzviNtidy23qsisQgAa85bFkRWpoU2MWM8hUXG_JXKhSg9MSenLSMggUaJds2_nZHO-tvdetrwO3K__qzzfSfcO/s1600/n16.jpg
Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza mumewe, Rais Jakaya Kikwete kwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa).


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9ZhqTy9Xzek7KDNoUDjVnkaE4TsVaFx81dwFiIS-Kzdyx75Q6CkCxk53bV8vwdzeHz1ATmWrj4PQG7Zamn1Tk81dqXNIctJgxPyXoZG93elswQwciiFcFwOhCFJ9wx_NIBhWmeDaR66-a/s1600/n17.jpg
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Ujumbe alioongozana nao mkewe Mama Salma kikwete na mtoto wao Ali Kikwete baada ya kutunukiwa shahada.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEign2KQxocJHvJpaGRJew1LKYmAdH_3XQN9pOdaqXnZhRvaemnl2tPObGxUunvx2F7eczS8HjxAfW0JS5TBQxScP9itXpRP0bZO2fDDsLDnAATnoveL7zwwdT3mTjtio79RPasrD5X9OUxx/s1600/n19.jpg
Rais Kikwete katika picha ya pamoja mkewe Mama Salma kikwete na Watanzania waishio Australia baada ya kutunukiwa shahada.

Chanzo: Michuzi Blog

No comments: