Pages

Thursday, August 29, 2013

BREAKING NEWS............MAJAMBAZI WALIOVALIA SARE ZA JESHI LA POLISI WAVAMIA HABIB AFRICAN BANK KARIAKOO


Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wakiwa wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. 
 
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 
Tutawaletea habari zaidi kuhusu hili tukizipata kikamilifu.


SOURCE:  ITV

No comments: