Pages

Tuesday, April 16, 2013

AIRTEL KWA KUSHIRIKIANA NA NOKIA WAZINDUA OFA KABAMBE YA SIMU ZA NOKIA LUMIA 620

Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa AIRTEL Edwin Byampanju, Afisa Uhusiano wa AIRTEL Jane Matinde na Meneja Biashara wa NOKIA -Tz Samson Majwala, wakionesha rangi mbalimbali za simu aina ya NOKIA LUMIA 620.  Simu hizo zipo kwenye bahati nasibu ambapo mshindi anapata simu na ofa kabambe ya muda wa maongezi dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa miezi mitatu.

Afisa Uhusiano wa AIRTEL, Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)

 Wakionesha tangazo la simu za NOKIA LUMIA 620 kwa waandishi wa habari, kutoka kushoto ni Meneja Biashara wa NOKIA Samson Majwala, Afisa Uhusiano wa AIRTEL Jane Matinde na Meneja Masoko wa AIRTEL Edwin Byampanju.

Batuli Chombo (kulia) ambaye ni mwandishi wa habari wa Sikuba akipokea simu ya NOKIA LUMIA 620 kutoka kwa Meneja Biashara wa NOKIA - Tz, Samson Majwala.

No comments: